ACHA WAAMBIANE, WASEMEZANE MABAYA YAKO NDIO CHAGUO LA GKKatika chaguo la GK tupo na kijana anayefanya vizuri kabisa katika tasnia ya muzik nchini Tanzania Goodluck Gozbert, kijana kutoka jijini Mwanza. Uimbaji wake na nyimbo zake zimetokea kupendwa na watu wengi ndani na nje ya Tanzania. Sauti yake haina makelele kama ilivyo kwa mwimbaji Ambwene Mwasongwe hata jumbe zake pia zinamwelekeo wa zile aimbazo Mwasongwe. Yawezekana unapitia mengi ikiwepo kusimangwa ama kusemwa na watu wanaokuzunguka maisha mwako ukafikia hali ya kukata tamaa, basi wimbo huu ukapate kukuinua tena, simama katika kweli ya Mungu, ipo siku utawanyamazisha mdomo kwa jina la Yesu..Jumapili njemaShare on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.