ARENA OF FAITH ARUSHA WANAKUTANGAZIA MAJIRA YA USHINDIRev. Adam Hajj

Wanakutangazia Majira ya ushindi mnenaji Rev. Adam Hajj walete wagonjwa wataombewa na watapata uponyaji kwa jina la Yesu usipange kukosa semina hii ewe mkazi wa Arusha na vitongoji vyake mahari Ukumbi wa Metropole muda kuanzia saa 9: Alasiri kila siku walioko mbali na Arusha unaweza kucheki kupitia akaunti ya facebook ya Adam hajj itakuwa ikirusha video live Mungu Awabariki sana habar picha utakuwa unazipata hapa hapa Gospel Kitaa.

 

Share on Google Plus

About John Maulid

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.