GOSPEL KWANZA KUZINDULIWA 21 AGOSTI ARUSHA CORRIDOR SPRINGS


Kwa mtazamo wa wengi, imeshaonekana kwamba kuna udhaifu kwenye kutenda kazi ya Mungu. Lakini hili limekataliwa na watoto wa Yesu, ikiwemo Gospel Kwanza, ambao kwa dhati wanakuletea jarida linalohusiana na injili nchini. Hii ni Gospel Kwanza Magazine.

"Gospel Kwanza, hapa tunatangaza injili zaidi na sio dini, nasi tunasimamia Warumi 1:16" Anaeleza Mkurugenzi Mtendaji, Emanuel Landey katika mahojiano kwenye ofisi za GK mapema wiki hii.

Ukiwa kama mkazi wa Arusha, unaweza kuwa sehemu ya huduma hii ambayo itawezesha kueneza injili zaidi kwa mataifa yote.

Kwa shilingi elfu tatu tu unaweza kujipatia nakala yako mkononi, ama kama unaweza kuwa sehemu ya msambazaji wa kasi hii, basi kwa shilingi 2,500.

0713882705 ndio namba ambayo unaweza kuwasiliana nayo moja kwa moja. Lakini ili kupata mengi zaidi unaweza kutuma neno "Ndiyo Gospel Kwanza" popote pale ulipo nchini ili kuwa sehemu ya  mtandao wa jarida hili.

Ambatana na jarida hili nao kupitia facebook na instaram, @GospelKwanzaTz

muonekano wa ukurasa wa facebook

muonekano wa ukurasa instagram
Share on Google Plus

About Elie Chansa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.