GOSPEL PARTY YA VIJANA NA RAFIKI ZAO KATIKA PICHA

Gospel Party iliyoandaliwa na Peace Has Come ni tukio mahsusi kwa vijana wa Kikristo kwa dhumuni la kuonyesha kuwa Mungu anakubali vijapi vya vijana.

Kwamba sio Mungu anataka uje kwa mfumo fulani japo unapokuja na kukakaa katika mstari wa wokovu hana shida yeyote ile.

Katika tukio lililofanyika tarehe 27 Agosti 2016 ilikuwa hasa ni kusupport Gospel Hip Hop (michano) wakiwemo wana michano wa muziki huo Elandre kutoka Dar, Machalii wa Yesu , DolaaNovic na wengine wengi. Hivyo basi ni katika kuonyesha kuwa wakristo pia wanaweza kufanya michano na kumtukuza Mungu kupitia muziki huu maarufu kwa jina la kufokafoka katika Yesu Kristo.

Michezo mbalimbali ilisheheni kama vile dansi kutoka kwa FDG Dancers, kwa ajili ya kujumuika pamoja, kufurahi na kujenga ushirika katika maeneo mbalinbali ndani ya Kristo, pamoja na vijana kumpokea Yesu kama BWANA na Mwokozi wa maisha yao.

Baada ya tukio hilo, waandaaji wameeleza kumshukuru kila mmoja aliyejitpa na kufika hapo kwa makundi mbalimbali; waliookoka na ambao hawakuwa bado. Kwani kwa muitikio wao ndio kufanikiwa kwa jambo hili.

GK ilifika katika Gospel Party ilifanyika Club D moshoni jijini Arusha ungana nasi katika picha.

Waimbaji toka Worshippers Intl katika kuimba


Dolaa

FDG Dancers


Rapper T-More mzee wa Show Me
Viongozi wa mchezo wakitoa maelekezo kwa vijana
Moja ya mchezo uliokuwepo ni kupanga mnara

FDG Dancer wakifanya yao

Cate Mollel akiongea na vijana


Rapper Elandre katika Michano 

Rapper Dolaa katika Michano yake

maandalizi ya mchezo

Kiongozi wa mchezo akitoa maelekezo juu ya mchezo husika

Isack akiwa katika moja ya mchezo

Novic katika michano

Nelly Music akimba wimbo wake wa KuDeal na mimi kwa mara ya kwanza.


Francis  katika rap battleBony Kazi katika Rap Battle

Marsha Mugarula akiwa na Rapper Elandre
 Kwa picha zaidi Bofya Hapa >>>
Ungana nasi kupitia Instagram @Gospel Kitaa -


Share on Google Plus

About Bony Kazi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.