HABARI PICHA: UZINDUZI WA JARIDA LA GOSPEL KWANZA JIJINI ARUSHA

Kijana Isack Jones akiwa amejipatia jarida lake
  
Ilikuwa ni siku ya Jumapili tarehe 21 Agosti  2016 katika ukumbi wa Hoteli ya  Corridor Springs ambapo kwa wingi, watu wenye nyuso za tabasamu walikuwa wakisubiri kwa hamu kuona uzinduzi wa jarida lenye habari za Kikristo kutoka Tanzania na dunia nzima kwa ujumla.

Uzinduzi huo wa jarida hilo la ambalo ndilo linatoka kwa mara ya pili tokea kuanzishwa kwake, uliongozwa na waimbaji wa nyimbo za injili akiwemo Paul Clement na Arusha Mass Choir.


Toleo hili la pili la jarida la Gospel Kwanza si tu kwamba limesheheni habari nyingi za kitaifa na kimataifa kwa waimbaj, wahubiri na waalimu mbalimbali kutoka kona zote za dunia kwa lengo la kukupa habari la injili, bali pia limeboreshwa zaidi tofauti na ule muonekano wa kwanza.

Ungana nasi katika picha.Paul Johnson & Arusha Mass kwaya katika Uimbaji wao


Wakati wa kuweka Wakfu Gazeti la Gospel Kwanza
Emanuel Landey Akiwa amepata gazeti lake baada ya kuzinduliwa rasmi

Ibra Nehemia Chalii wa Yesu akijipatia gazeti lake


Maxwell Chaila - Men at Work

Anaitwa Gerald Brown akipatiwa gazeti lake na Novic

Paul Clemet Katika Uimbaji wake jukwaani`

Kwa picha zaidi Bofya hapa >>>>

Tunapatikana pia kupitia Instagram @Gospel Kitaa 

Share on Google Plus

About Bony Kazi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.