MUNGU UMENIHURUMIA NDIO CHAGUO LA GK VIDEO MPYA YAKE BEATRICE MWAIPAJA

Beatrice Mwaipaja akiwa na mumewe

Chaguo la GK leo limeangukia kwa mwimbaji Beatrice Mwaipaja kupitia wimbo wake mpya alioutoa hivi karibuni akikwambia 'Mungu Umenihurumia'. Hapana shaka utaungana naye kumshukuru Mungu kwa matendo makuu aliyokutendea, yawezekana uko katika hali mbaya lakini ukitazama hali uliyonayo leo ni afadhali kuliko ilivyokuwa jana. Mungu bado ni mwema na huruma yake kwetu ni kubwa hakuna mwenye huruma kama Yeye. Ubarikiwe









Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.