CHAGUO LA GK NI KIGONGO SAFI CHA KUKUMBUKWA KUTOKA EFATHA UHURU MORAVIAN CHOIR
Leo katika chaguo la GK tupo kanisa la Moravian usharika wa Uhuru-Kariakoo jijini Dar es salaam, ambao kwasasa ibada zao wanafanyia katika eneo lao jipya huko Msimbazi Centre jijini humo. Katika kanisa hili kuna kwaya maarufu iitwayo Efatha ambayo miaka ya karibuni ilitamba na video yao ya Mafarakano ama maarufu Twaomba Amani, ndani ya album hii kuna nyimbo nyingi zilizotokea kupendwa sana. Ila kwa GK kupitia album hii, tumekuchagulia wimbo uitwao 'Amelaaniwa amtegemeaye Mwanadamu', ni matumaini yetu utabarikiwa vilivyo na ujumbe wa wimbo huu. Uwe na jumapili njemaShare on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.