DAR BABA ANAKUITA JPILI KUANZIA SAA TISA ALASIRI MBEZI LUIS

Taswira ya eneo la mkutano
Tarehe 25 ndio siku ya tukio, shamrashamra kwa hivi sasa ziko katika kilele chake. Kila kona ya Dar, vipeperushi vimeshasambaa, fulana nazo zimeshachapwa, magari nayo yako tayari kusafirisha watendakazi wa Glory of Christ Tanzania Church, maarufu kwa jina la Ufufuo na Uzima.

Ufufuo na Uzima ambayo imeenea nchi nzima, imeazimia kwa mara ya kwanza baada ya kuzunguka karibu nchi nzima kueneza injili - ya kwamba sasa ni zamu ya Dar es Salaam - mhal ambapo hawajawi kufanya mkutano wa injili. Baba anakuita kama ambavyo neno hilo limezagaa kwenye mitandao ya kijamii.

Maandalizi ya mkutano huo mkubwa (mega crusade) tayari yako sawasawa kwa sekta zote, na kila mwenye matatizo ya kila aina anatarajiwa kufunguliwa kwa Jina la BWANA Yesu.Akirudi ataisoma

Picha zote kwa hisani ya Ufufuo Crew

Share on Google Plus

About Elie Chansa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.