HABARI PICHA: MAANDALIZI YA VIDEO YA ALBAM MPYA YA GOSPEL KID

Kutoka katika "set" ya Abuu Levy, Gospel Kitaa inakuletea picha za maandalizi ya video ya mwimbaji huyo wa nyimbo za Injili nchini anayejulikana kama Gospel kid au Mwarabu aliyeokoka.

Gospel Kid ambaye hii itakuwa albamu yake ya nne tangu aanze kumwimbia Mungu, ameiambia GK kuwa anataka kuona watu wanamtumikia Mungu kupitia nyimbo zake watu na wapate kufunguliwa, kutokana na shuhuda zilizopo humo.

This is your time ndio nyimbo inayofanyiwa video na kampuni ya Jm Media chini ya Director John Maulid.

Mwimbaji Gospel Kid akiwa location


akiimbisha kiitikio

Director John Maulid akiandaa taa

Director John Maulid akiwa katika pozi pamoja na Jimy

Mwimbaji Gospel Kid katika uimbaji


Mwimbaji Gospel Kid katika uimbaji

Mwimbaji Gospel Kid katika uimbaji

Mwimbaji Gospel Kid katika uimbaji

Director John Maulid katika pozi

Director John Maulid katika pozi baada ya kumaliza kazi

Director John Maulid katika pozi kabla ya kuanza kaziShare on Google Plus

About John Maulid

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.