SEMINA YA NENO LA MUNGU NA ADAM HAJJ ARUSHA

Kanisa la KKKT Enkare Dolmotony Arusha inapenda kuwatangazia Wakazi wa Arusha na vitongoji vyake Mtumishi wa Mungu Mchungaji Daniel Mahawe akishilikiana na Mtumishi mwenzake Adam Hajj wanakutangazia Semina ya Neno la Mungu wagonjwa na wenye shida mbalimbali wataombewa semina itaanza tarehe 14 hadi 18 mwezi wa tisa 2016 Muda saa 9 - 12:00 jion wote mnakaribishwa
Gospel kitaa itakuwa ikikuletea matukio yote ya hii Semina.

Share on Google Plus

About John Maulid

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.