TAMASHA LA UWEPONI WAKO LILIVYOFANYIKA :HABARI PICHA

Jumapili ya September 11/2016  The Joshua Generation Team wamemshukuru Mungu kwa kuwasaidia na kuwasimamia katika tamasha ambalo wameliandaa kwa muda mrefu la 'Uweponi Mwako Concert'.

Katika tamasha hilo lililojumuisha vikundi viwili tu vya uimbaji ambavyo ni wenyeji The Joshua Generation pamoja na waalikwa The Jordan Band.

Tamasha hilo lilikuwa na kusudi la kumsifu na kumwabudu Mungu lakini pia kulifanyika changizo kwa ajili ya ununuzi wa gari aina ya Fuso kwa kazi ya injili mitaani na mikoani pia..

Kiongozi wa kanisa la E.A.G.T Mito ya Baraka Askofu Dkt B.R. Mwakibolwa Alimshukuru Mungu kufanyika kwa tamasha hilo na pia kufurahi kuwaona wale walijitokeza.

Ungana nasi katika picha kama GK ilivyofika katika tamasha hili.

Masanja Mkandamizaji

The Joshua Generation wakiwa katika uimbaji wao
The Jordan Band katika uimbaji


Bishop Dr B.R. Mwakibolwa akiwaambea watu baada ya kutoa michango yao

Bishop Dr B.R. Mwakibolwa akiombea michango iliyotolewa pamoja na ahadiUweponi Mwako


Picha ya Pamoja baada ya ya kumaliza tamasha
Bofya Hapa Kuona Picha Zaidi >>>

Share on Google Plus

About Bony Kazi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.