UZINDUZI WA CHANGIZO ENDELEVU KWA AJILI YA WAPO RADIO FM 98.1


Lengo: kufanikisha Ujenzi wa Studio mpya kuboresha Matangazo na kuongeza usikivu.
Wachungaji mbalimbali walikuwepo kwa mafundisho tofauti tofauti.
Changizo lilianza muda wa saa 8:42 mchana  hadi saa 10: 30 jioni ambapo walifanikiwa kuchangisha kiasi cha shilingi milioni arobaini keshi na ahadi milioni kumi na nne pwenti tano.

 Changizo liliendeshwa na Mch. Peter Mitimingi baada ya kumalizika changizo uimbaji uliendelea hadi saa kumi na mbili jion 

Zifuatazo ni baadhi ya picha katika tukio hilo

Timu ya kusifu na kuabudu ya BCIC Mbezi Beach
Goodluck Gozbert akihudumuWatangazaji wa WAPO Radio FM Stelius Sane na Anasima 

Sehemu ya umati uliohudhuria katika Kongamano

Askofu Rwezaura na Mhariri Mkuu wa WAPO Radio na Gazeti Msemakweli, Elibariki MInja
Mwl. Emilian Busara na Elibariki

Mwl. Emilian Busara

BAadhi ya Watangazaji wa WAPO Radio FM wakiipitia Ratiba

Kutoka kushoto; Father Filemon Rupia, Said Habib, Shiva Mgimba, Costantino Pius na Eunique Maringo

Mtangazaji wa WAPO Radio FM Father RupiaBaadhi ya Waumini


Mhariri Mkuu wa WAPO Radio FM Elibariki Minja


Kwaya ya Mwananyamala

Watumishi wa Mungu

Watangazaji wa WAPO Radio FM wakicheza wimbo

Watangazaji wa WAPO Radio FM
Secretary wa WAPO Radio FM, Joyce Mathew 

Watumishi wa Mungu

Mwimbaji Christopher Mwahangila


Mchungaji Peter Mitimingi

Mchungaji Peter Mitimingi

 George Banali ( GB )

 George Banali ( GB )
Mchungaji Peter Mitimingi, Askofu Michael Pater, na Askofu Rwezaura.
Christopher Mwahangila, Lilian Kimola na John Maulid wa Gospel Kitaa
Share on Google Plus

About John Maulid

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.