AMENIFANYIA AMANI NDIO CHAGUO LA GK WIKI HII KUTOKA KWA PAUL CLEMENT"Amenifanyia amani kaondoa huzuni yangu amenifanyia amani", ni baadhi ya maneno yanayopatikana katika wimbo 'Amenifanyia Amani' kutoka kwa kijana Paul Clement wimbo mpya kabisa wa injili kutoka kwa kijana huyu ambaye kila siku anajitahidi kuja vizuri kwa nyimbo nzuri na video zenye viwango.

Paul ametamba na kundi la Glorious Celebration kisha Glorious Worship Team na sasa anatoa nyimbo binafsi nje ya kundi hilo. Ni matumaini yetu, wimbo huu utakubariki uusikilizapo na utazamapo. Tukutakie jumapili njemaShare on Google Plus

About Desdery Charles

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.