COME LET US WORSHIP ILIVYOKUWA DCT KATIKA PICHA

Jumapili ya Tarehe 16 Oktoba haiwezi kufutika haraka kwa wale ambao wamehudhuria ibada ya kusifu na kuabudu ambayo waandaji waliipa jina la Come let us Worship, kwenye kanisa la Dar es Salaam Calvary Temple  (DCT) ambalo lipo maeneo ya Tabata Shule

Kanisa hilo ambalo linaongozwa na Katibu mkuu wa Tanzania Assemblies of God (T.A.G) Askofu Dkt Ron Swai liliandaa ibada hiyo ambayo iliongozwa na timu ya kusifu na kuabudu ya DCT kwa kushirikiana kwa pamoja na Eliya Andendekisye Tusekege, John Lisu, Bomby Johnson pamoja na Brother Mise Mushi ambaye aliwasogeza watu uweponi kwa kuimba akitumia saxophone. 

GK ilikuwa moja kati ya watu ambao walihudhuria ibada hiyo.
Ungana nasi katika picha.


Fred Msugu aki Host tamasha


Mwimbaji kutoka team ya Aflewo


Mise katika upigaji wake wa saxophone


Wingi wa watu walioojaa katika kuabudu
John Lisu katika uimbaji

Dr Ron Swai

Bomby Johnson Katika uimbaji

Dr Ron Swai

John Lisu akiwa katika Stage

Selfie ya pamoja


Jimmy Kumutuo Katika upigaji wake wa solo guitar

Eliya katika Uimbaji 

Team nzima ya kuabudu wakiomba kwa pamoja mara baada ya tamasha kuisha
kwa picha zaidi Bofya hapa >>>>


Share on Google Plus

About Silas Mbise

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.