HABARI PICHA KUTOKA MOSHI: MY PRAISE CONCERT ILIVYOFANYIKA


Picha ya pamoja baada ya huduma.
Ikingali watu bado wana kumbukumbu ya wikiendi ndefu iliyoambatana na maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere. Jiji na la Moshi nalo lina kumbukumbu ya tamasha la kusifu na kuabudu lililofanyika Umoja Hostel, na kuratibiwa na The Heavenly Melodies (H.M).

Jumapili ya tareje 16 ndio siku kuu kwa The Heavenly Melodies, ambao wameandaa tamasha la kusifu na kuabudu, na kulipa jina la My Praise Concert. Ambapo vikundi na waimbaji kadhaa walikutanishwa kuanzia saa tisa alasiri hadi jua lilipozama.

Kati ya wahudumu, wamekuwemo Abedneggo & The Worshipperz International, ambao kwa kauli ya The Heavenly Melodies, wamekuwa chachu ya mafanikio yao - ikizingatiwa kundi limenzishwa mwaka 2015.

The Heavenluy Melodies inaundwa na vijana takribani 22 kutoka makanisa mbalimbali ya kiroho kutoka Mkoani Kilimanjaro. Na hili ni tamasha lao la pili kuandaa, ambapo pia mwisho wa mwaka 2016 wanatarajia kuwa na tamasha lingine kubwa zaidi.

Zifutatazo ni picha za matukio.

Event Manager wa H.M

Hakubali kupitwa

Kiongozi wa The Wiz', Abednego akiongoza kikundi hicho katika kumsifu Mungu.


The Heavenly Melodies wakaingia.

Mkurugenzi wa H.M, Shadrack Tullo akiwashukuru Bwana na Bibi Abednego Hango, ambao pia wamekuwa chachu ya kufanikiwa kwao.

Kila mtu bize.

...akiyarudi

la hasha! Haanguki, anamchezea Mungu tu hapa.

Nelly MusicSehemu ya The Wiz' International.
Unaweza kutazama picha zaidi kwa kubofya hapa.Share on Google Plus

About Elie Chansa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.