MWIMBAJI ANAPOISHUKURU JOYOUS KWAKUMKUTANISHA NA MKEWE MPENZI
Yaliyowahi kutokea katika mtandao wa Facebook hivi karibuni kwa upande wa waimbaji hususani wale waliopitia Joyous Celebration ni kwamba mwanakaka Sipho Manqele amelishukuru kundi lake la zamani la Joyous kwakuwa ndio chanzo cha yeye kukutana na mpenziwe ama mke wake wa ndoa kwasasa mwanadada Mercy Ndlovu Manqele ambaye aliweza kuwika vyema kupitia nyimbo mbalimbali alizoimba kuanzia Iyena Jehova mpaka Xikwembu Xayina hadi alipomaliza mkataba wake.

Wawili hao walikutana ndani ya kundi hilo, wakapata mtoto kisha ndoa ikafuata baadaye ambapo mpaka sasa licha ya wote kumaliza mkataba na Joyous bado wanatumika kama waimbaji binafsi.
Joyous ni moja kati ya makundi ambayo wanakwaya ama wafanyakazi wake wamepata wenzi wa maisha wakihudumu pamoja.

Watoto wa waimbaji hao
Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.