FORGOT YOUR DETAILS?

Mwl Debora E. Lema Staff Writer.   Utangulizi. Kila mwanadamu anayeishi katika dunia hii ana kusudi la MUNGU ndani yake. Bila kujali yeye analijua au halijui. Kutokujua kwako kusudi la wewe kuumbwa haimaanishi umezaliwa kwa Bahati mbaya. Hivyo tia bidii ujue kwanini upo DUNIANI na MUNGU anataka ufanye nini. Wanadamu hudhani ya kuwa mwanadamu kuishi
Unapokuwa na siku tatu za nguvu (Tarehe 8-10 Septemba) mahsusi kwa ajili ya uponyaji wa nafsi na roho basi kwa hakika kuna vitu vitahuishwa tu hata kama vilikuwa vimepooza. Na siku zenyewe zinapoangukia mwisho wa wiki basi hapo ndipo utatambua ya kwamba Mungu anataka kusema nawe – na hii ni Dar es Salaam; Sinza Mapambano
  Kwa mara ya kwanza katika historia ya muziki wa injili nchini Afrika ya kusini kulishuhudiwa historia kuvunjwa kwa mwimbaji wa muziki wa injili Dr Tumishang Makweya  kuweza kuujaza ukumbi mkubwa kabisa wa burudani uitwayo Dome uliopo jijini Johannesburg usiku wa kuamkia jumatatu Dr Tumi ambaye historia yake ya muziki imeanzia mwaka 2007 akiwa na
Tunatumai u mzima mdau wa GK, Jumapili ya leo katika Chaguo letu, tunakueleta wimbo wa mshindi wa tuzo ya Sauti Moja kipengele cha Muimbaji bora wa kiume Afrika Mashariki, tuzo ambayo inatolewa kwa uratibu wa wadau mbalimbali ikiwemo Taasisi ya Compassion. Wimbo wa Shukurani ambao video yake imetoka hivi karibuni ndio tunaokuletea leo hii. Kuna

WHAT’S YOUR NICKNAME?

Way back in secondary school, I remember calling teachers using their nicknames. Each with a name that only students know. The names usually depicted their ways. They behaviors in general. There is one particular day, our chemistry teacher asked us (my friend and I happened to be in the staff room) what his nickname is…
Tagged under: , , ,
Mara ya mwisho tumeona Grace akianza kuaga ndugu na jamaa, ya kwamba anakufa na hakuna namna – ila BWANA mwenye ndiye atakayemfufua kwa utukufu wake. na kweli katika hiyo hali, mashine aliyokuwa amenuganishwa nayo ilikata mawasiliano – ikawa inaonyesha kwamba hakuna kinachoendelea; yu mfu. Hapo ndipo mama yake mzazi alipokimbilia kumuita muuguzi. Unaweza kusoma sehemu
Dennis Karanja ndio jina lake kamili, lakini hufahamika Zaidi kama Denno Mbona. Kitu kikubwa ambacho anajivunia, basi ni kuzaliwa na ulemavu wa macho. Tofauti na wengine wanavyodhani, yeye anatambua ya kwamba anaona mbali zaidi. Sauti ni kibali kutoka kwa Mungu, ametujalia tusikike. Tunapata riziki juu ya sauti tu. Denno. Muziki kwake umekuwa si tukitu apendacho,
Uhali gani mpenzi wa GK, karibu katika Chaguo la GK ambapo wiki hii tunaye mwanamama Lilian Kimola mwenye makazi yake Jijini Dar es Salaam, ambaye anatarajia kufanya uzinduzi wa video ya album yake ya pili inayofahamika kwa jina la Wanitosha. Album hii ina jumla ya nyimbo nane ambazo ni Wanitosha, Vazi Jipya, Ni Wewe Tu,
Mara ya mwisho, Grace ameeleza ni namna gani madaktari walikuwa wamekata tamaa kuhusu uso wake ambao umeonekana ulikuwa umevimba na wasijue cha kufanya. Na jambo hilo akalitambua baada ya kumsikia mume wake akifanya maombi. Unaweza kusoma sehemu iliyopita kwa kubofya hapa. Lakini kama ni mara ya kwanza basi unaweza kuanza na ushuhuda huu kwa kubofya
  Watu 11 wameuwawa wakati misa ikiendeleana wengine takribani 18 kujeruhiwa kwenye Kanisa Katoliki la Mtakatifu Filipo, Kusini Mashariki mwa Nigeria Jumapili tarehe 6 Agosti.  Watekelezaji wa shambulizi hilo la kutumia silaha bado hawajajitokeza hadharani kukiri kuhusika. Tukio hilo ambalo limetokea wakati ibada ya pili ikiendelea, linaelezwa na mashuhuda kwamba muuaji aliingia na kuanza kufyatua
TOP