FORGOT YOUR DETAILS?

Thursday, 10 August 2017 / Published in Habari
Mara ya mwisho, Grace ameeleza ni namna gani madaktari walikuwa wamekata tamaa kuhusu uso wake ambao umeonekana ulikuwa umevimba na wasijue cha kufanya. Na jambo hilo akalitambua baada ya kumsikia mume wake akifanya maombi. Unaweza kusoma sehemu iliyopita kwa kubofya hapa. Lakini kama ni mara ya kwanza basi unaweza kuanza na ushuhuda huu kwa kubofya
Wednesday, 09 August 2017 / Published in Habari
  Watu 11 wameuwawa wakati misa ikiendeleana wengine takribani 18 kujeruhiwa kwenye Kanisa Katoliki la Mtakatifu Filipo, Kusini Mashariki mwa Nigeria Jumapili tarehe 6 Agosti.  Watekelezaji wa shambulizi hilo la kutumia silaha bado hawajajitokeza hadharani kukiri kuhusika. Tukio hilo ambalo limetokea wakati ibada ya pili ikiendelea, linaelezwa na mashuhuda kwamba muuaji aliingia na kuanza kufyatua
Wednesday, 09 August 2017 / Published in Habari, Masomo
Elie Chansa, Staff Writer. Often a times we have heard the statement; no retreat – no surrender. It simply shows how determinant a person is while dealing with something – thanks to Coren Yuen for starring Jean-Claude Van Damme in his 1986 feature film, we, kids of the 80’s and 90’s are aware of the
Monday, 07 August 2017 / Published in Habari
Karibu msomaji wetu wa GK katika mfululizo wa ushuhuda wa Grace Rweyemam, aliyeponywa uvimbe kwenye ubongo kutokana na uwezo wa Mungu. Mara ya mwisho tuemsoma Grace akieleza namna ambavyo madaktari walikwishaufikia uvimbe baada ya masaa matatu tangu upasuaji huo ulipoanza, na lengo lao wakiwa na nia ya kuuondoa kwa angalau asilimia 30, na wakifanikiwa sana
Sunday, 06 August 2017 / Published in Habari
U hali gani penzi wa GK, karibu upya kwenye Chaguo la GK ambapo leo hii tunaye mwanadada Furaha Isaya mwenye makazi yake Jijini Dar es Salaam. HIvi karibuni amepata kuzindua video ya wimbo wake mpya, Amenihurumia, video iliyofanywa na Rehoboth Pictures. Katika maelezo yake kwa GK, Furaha anasema kwamba   Unaweza kusoma/kuimba mistari ya wimbo
Friday, 04 August 2017 / Published in Habari, Masomo
Mwl. Debora E. Lema UTANGULIZI. Lazima tuelewe kuwa SADAKA ni kipimo cha upendo kati moyo wa mtu na MUNGU wake. Kama usivyoweza kujitoa kwa mtu usiyempenda halikadhalika huwezi kujua kumtolea MUNGU kilicho bora kama hujamaanisha kumpenda. Kumpenda MUNGU si kwa kutamka kwa kinywa, Bali MATENDO uyatendayo ndiyo yatajibu kama unampenda MUNGU au la. MUNGU anapokuagiza
Thursday, 03 August 2017 / Published in Habari
Karibu msomaji katika simulizi ya kweli inayomuhusu Grace Godfrey Rweyemam. Ambaye alikuwa na jipu ndani ya ubongo hali iliyosabisha kupitia mengi.   Jina lake halisi ni Grace Langula akiwa ni mtoto wa tano kuzaliwa katika familia ya watoto saba watatu wakiwa ni wanaume na wanne ni wanawake uzao wa Mchungaji Sostenec Langula. Grace ameolewa na
Wednesday, 05 July 2017 / Published in Habari
Popote ulipo nchini, wakati ukijiandaa na siku yamapumziko ya Saba Saba, basi huenda kuna tukio mahala pako ambalo hutakiwi kulikosa. GK tunakuletea matukio mbalimbali nchini siku ya Ijumaa, upate kujumuika na kusanyiko la waamini kumtukuza Mungu. Arusha. A Night of Overflow. (Calvary Temple. 9 usiku – asubuhi, Bure.) Tanzania Assemblies of God, Calvary Temple kuna
Monday, 03 July 2017 / Published in Habari, Masomo
Mwl Debora E. Lema Staff Writer.   UTANGULIZI.   Unapokua na uhakika na MUNGU wako huna sababu ya kutahayari wala kuogopa, maana huwa anapigana vita vyake mwenyewe, wewe huna uwezo wa kupigana.   DANIELI 3:17 “Kama ni hivyo, MUNGU wetu tunayemtumikia aweza kutuokoa na tanuru iwakayo moto, naye atatuokoa na mkono wako, Ee mfalme” UKIJUA
Friday, 30 June 2017 / Published in Habari
  Kimya kingi kina mshindo, Waswahili tunasema. Na ndivyo itakavyojidhihirisha Jumapili tarehe 2 Julai, ambapo Rose Mollel, atakuwa akizindua album zake mbili kwa wakati mmoja; Video album ya Hakuna kama Wewe, na audio album ya Nimekutana na yesu. Tukio hili litajiri kuanzia ibada ya kwanza saa 12:30 asubuhi na kisha ibada ya pili saa 3
TOP