FORGOT YOUR DETAILS?

Monday, 24 October 2016 / Published in Habari
Askofu Sylvester Gamanywa WAPO Mission International. Mnara wa mashujaa wa vita vya Kagera. ©SeeTheAfrica Kushindwa katika pambano sio lazima ndio kushindwa vita! Wakati wa vita majeshi yanayopigana hufanya mapambano mengi tena ya aina tofauti! Kila upande hushinda au kushindwa katika baadhi ya mapambano husika. Lakini kushinda vita ni pale ambapo mkakati wa jeshi wa jeshi
Sunday, 23 October 2016 / Published in Habari
Paul Chisom Udo Chaguo la GK hii leo tupo jijini Lagos nchini Nigeria ambako tunakutana na kaka matata kwenye huduma ya muziki wa injili anayefahamika kwa jina la Paul Chisom Udo a.k.a PC. Wimbo tuliokuchagulia ni moja kati ya nyimbo maarufu kutungwa na kijana huyu ambaye alifunga ndoa hivi karibuni, hapa akiwa amerishirikisha kundi maarufu
Sunday, 23 October 2016 / Published in Habari
Maana halisi ya ndoa kwenye Biblia. Ndoa ndio mahala pekee duniani ukijumlisha moja na moja unapata jibu n moja,kwa maana hiyo kama mwanandoa mmoja ni mbovu na mwingine ni mzuri wakiwa kwa pamoja wote wataharibika vilevile kama moja akiwa mzuri na mwingine mzuri wote wataongezeka kuwa wazuri. Kwenye maisha ukimwona mtu ni mgonjwa ana matatizo
Friday, 21 October 2016 / Published in Habari
1⃣  *SEMINA YA NENO LA MUNGU–IRINGA MJINI* *NA: MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE* *SIKU YA KWANZA* *TAR 19 OCTOBER 2016* *LENGO LA SOMO: KUJIFUNZA TUPATE KUJUA NAMNA YA KUOMBA ILI HALI YA KIROHO YA ARDHI ILIYO KWAMISHA MAENDELEO YAKO IPATE KUONDOKA*; ✍✍Tuangalie sababu kadhaa hapa; 1⃣ *Sababu ya kwanza* *Mwanzo 3:17-19* Akamwambia Adamu,Kwa kuwa umeisikiliza sauti ya
Thursday, 20 October 2016 / Published in Habari
Unaposikia ya kwamba uimbaji utakuwa live basi moyo unaanza kusuuzika, unapotambua ya kwamba waandaji wa tamasha ni Habari Maalum Media basi moyo unaazaa kundunda mbiombio kuombea siku ifike mapema uwe sehemu ya wamsifuo na kumuabudu Mungu siku hiyo. Unapofahamishwa kwamba kutakuwepo na kwaya za zamani zitakuwepo pia kuhudumu ndipo unaanza kusikitika kwa nini tamasha lisifanyike
Thursday, 20 October 2016 / Published in Habari
Diana na Christopher Mwakasege LENGO LA SOMO: Kuimarisha Uhusino Wako Na Mungu Katika Kristo Yesu JAMBO LA NNE  LA KUZINGATIA.- Kuombea tafsiri ya ndoto husika kusikusahaurishe kuombea  Ujumbe ulio bebe ndoto hiyo. Mambo Matatu ya kukumbuka (1) Lengo la kuletewa ndoto ni kuletewa ujumbe. Ayubu 33:14-15 Mungu anatumia njia moja wapo ya ndoto kusema na
Tuesday, 18 October 2016 / Published in Habari
Kati ya waimbaji wa injili nchini Marekani ambaye anaongoza kwa kutembelea Afrika ya kusini mara kwa mara basi mwanakaka VaShawn Mitchell anaongoza, kiasi cha kubatizwa jina la kizulu kutoka kwa marafiki zake wa karibu nchini humo. Mitchell aliyetamba na wimbo wa ‘No body is greater than you’ amekuwa akitembelea nchini Afrika ya kusini kila mara
Tuesday, 18 October 2016 / Published in Habari
Yaliyowahi kutokea katika mtandao wa Facebook hivi karibuni kwa upande wa waimbaji hususani wale waliopitia Joyous Celebration ni kwamba mwanakaka Sipho Manqele amelishukuru kundi lake la zamani la Joyous kwakuwa ndio chanzo cha yeye kukutana na mpenziwe ama mke wake wa ndoa kwasasa mwanadada Mercy Ndlovu Manqele ambaye aliweza kuwika vyema kupitia nyimbo mbalimbali alizoimba
Monday, 17 October 2016 / Published in Habari
Picha ya pamoja baada ya huduma. Ikingali watu bado wana kumbukumbu ya wikiendi ndefu iliyoambatana na maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere. Jiji na la Moshi nalo lina kumbukumbu ya tamasha la kusifu na kuabudu lililofanyika Umoja Hostel, na kuratibiwa na The Heavenly Melodies (H.M). Jumapili ya tareje 16 ndio
Monday, 17 October 2016 / Published in Habari
Jumapili ya Tarehe 16 Oktoba haiwezi kufutika haraka kwa wale ambao wamehudhuria ibada ya kusifu na kuabudu ambayo waandaji waliipa jina la Come let us Worship, kwenye kanisa la Dar es Salaam Calvary Temple  (DCT) ambalo lipo maeneo ya Tabata Shule Kanisa hilo ambalo linaongozwa na Katibu mkuu wa Tanzania Assemblies of God (T.A.G) Askofu
TOP