FORGOT YOUR DETAILS?

Wednesday, 22 February 2017 / Published in Habari
Janeth Songoi, Guest Contributor.   Mwalimu mmoja aliita wanafunzi wake akawaambia, “Kesho kila mwanafunzi aje na nyanya kulingana na idadi ya watu anaowachukia. Yani kama unamchukia mtu mmoja uje na nyanya moja kama ni wawili basi njoo na nyanya mbili hivyo hivyo. Nyanya hizo mtazibeba kwenye mabegi yenu ya kubebea madaftari na vitu vingine vya
Monday, 20 February 2017 / Published in Habari, Tangazo
Kwa muda mrefu tumekuwa kwenye marekebisho ya tovuti yako ya Gospel Kitaa ili kuendana na uhitaji wa teknolojia ya dunia ya leo. Hili jambo limeendana na mabadiliko makubwa kwenye mitambo ya uhifadhi wa data zetu ili kuhakikisha kwamba tovuti inakuwa na mwonekano bora, na salama zaidi dhidi ya uvamizi. Timu ya Gospel Kitaa ina jukumu
Tuesday, 15 November 2016 / Published in Habari
Milly na Kaka yake Jimmy siku wazazi wao walipotimiza miaka kadhaa ya ndoa yao Waimbaji watatu ambao ni ndugu wa kundi la Ambassadors of Christ ya Rwanda almaarufu kama ‘Kwetu Pazuri, Jimmy, Betty pamoja na Milly wamefiwa na baba yao mzazi mzee Sam hapo jana jioni huku chanzo cha kifo chake kikiwa bado hakijajulikana. Mzee
Sunday, 13 November 2016 / Published in Habari
Katika chaguo la GK hii leo tupo na gwiji wa muziki wa injili Afrika ya kusini aliyelala mauti miaka kadhaa iliyopita kwa ugonjwa wa kansa ajulikanaye kwa jina la Vuyo Mokoena, mwimbaji ambaye uimbaji wake ulitokea kuwabariki wengi nchini mwake na nje ya nchi hiyo. Ukaribu wake na malkia wa muziki wa injili Rebecca Malope
Sunday, 06 November 2016 / Published in Habari
4⃣SIKU YA NNE YA SEMINA YA NENO LA MUNGU-IRINGA NA MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE(MANA MINISTRY) LENGO:Kujifunza mbinu za kuomba ili hali ya kiroho ya ardhi iliyokwamisha mafanikio yako iondoke ili uweze fanikiwa. HATUA ZA KUMSAIDIA MTU ILI AONDOKE AU WEWE UONDOKE KATIKA HALI HIYO ILIYOKWAMISHA KUANZA UJENZI,KUENDELEA AU KUMALIZIA UJENZI.. 5.MUULIZE ALYEHITAJI KUOMBEWA IKIWA AMEWAHI KUTAFUTA
Sunday, 06 November 2016 / Published in Habari
Mercy Ndlovu Manqele Tunatumai u mzima mdau wa Gospel Kitaa kwa Jumapili ya leo tarehe 6 Novemba 2016. Tukiwa tunahesabu siku kumaliza mwaka, karibu kwenye Chaguo la GK, ambapo leo tunaye Mercy Ndlovu kutoka Joyous Celebration kwenye album yao ya 16. Wimbo tunaokuleletea ni Hi Hanya Mahala wenye tafsiri isemayo Tunaishi Bure Kupitia Yesu. Tutafakaripo
Wednesday, 02 November 2016 / Published in Habari
SEMINA YA MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE(MANA MINISTRY)-IRINGA: LENGO: Kujifunza mbinu za kuomba ili hali ya kiroho ya ardhi iliyokwamisha mafanikio yako iondoke ili uweze fanikiwa. HATUA  ZA KUFANYA ILI UONDOKE HAPAO ULIPO AU UMWOMBEE MTU ALIYEKUJA KUOMBA MSAADA UMSAIDIE KUTOKA HAPO. 1.PELEKA OMBI HILO KWA MUNGU.Usijaribu msaidia huyo mtu au kujisaidia bila kumuuliza Mungu kwasababu wewe
Tuesday, 01 November 2016 / Published in Habari
Hatimaye baada ya kusubiri kwa muda mrefu,  kazi njema kabisa iliyoandaliwa na kwaya mahiri katika medani ya muziki wa injili nchini Dar es salaam Gospel Choir (D.G.C) kutoka kanisa la Pentecostal Kurasini inayofahamika kwa jina la ‘Hatulegei’ inatarajiwa kuzinduliwa rasmi mwezi huu. Uzinduzi wa DVD hiyo ya 3 kutoka kwao DGC unatarajiwa kufanyika katika ukumbi
Wednesday, 26 October 2016 / Published in Habari
Nyota wa muziki wa injili nchini mwanamama Upendo JBride zamani Upendo Kilahiro amezidi kuipeperusha vyema bendera ya mwanakondoo baada ya kunyakua tuzo mbili nchini Marekani ndani ya mwezi October 2016. Mwanamama huyo anayejulikana kwa uhodari wa kuimba nyimbo za aina zote kutokana na uwezo wake wa juu wa sauti, alipendekezwa kuwania katika tuzo zinazotolewa na
Monday, 24 October 2016 / Published in Habari
Mwalimu Christopher Mwakasege LENGO LA SOMO NI KUIMARISHA UHUSIANO WAKO NA MUNGU KATIKA KRISTO YESU >>Kazi ya Mungu ukiifanya kunakuwajibika ndani yake, yaani si kwamba wewe unaeifanya hiyo kazi unastahili sana au uko sahihi sana kuliko wengine hapana bali ni neema yake tu Mungu. Somo hili ni kwa ajili ya kujenga uhusiano wako na Mungu
TOP